Wednesday, September 25, 2013

HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSOKELO YAKABIDHIWA GARI NA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIII

 Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Donan Mmbando akielezea hali ya huduma za chanjo nchini  katika hafla fupi ya kukabidhi gari   aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili  ya huduma ya chanjo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye thamani ya  Sh. milioni 38  iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya  Afya na Ustawi wa Jamii jijini Dares Salaam leo.
 Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga(aliyesimama) akiishukuru Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa msaada wa gari hilo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Crispin Meelana kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dk. Gilibert Tarimo
 Katibu Mkuu wa Wizara  ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo akizungumzia na waandishi wa habari leo katika hafla fupi ya kukabidhi gari   aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili  ya huduma ya chanjo kwa Halimashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye thamani ya  Sh. milioni 38  jijini Dares Salaam leo.Kulia ni Waziri  wa  nchi  Ofisi ya Rais (Kazi maalumu), Profesa Mark Mwandosya
Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga akijaribu kuendesha gari walilopewa na Wizara ya Afya naUstawi wa Jamii leo jijini Dares Salaam.
 Mwenyekiti wa halimashauri hiyo,Meckson Mwakipunga(aliyesimama) akiishukuru Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa msaada wa gari hilo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe,Crispin Meelana kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dk. Gilibert Tarimo
Waziri  wa  nchi  Ofisi ya Rais (Kazi maalumu), Profesa Mark Mwandosya wa pili (kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya watu wakati  hafla fupi ya kukabidhi gari   aina ya ‘Toyota double Cabin’ kwa ajili  ya huduma ya chanjo kwa Halimashauri ya Wilaya ya Busokelo lenye thamani ya  Sh. milioni 38  jijini Dares Salaam leo.Picha zote na Magreth Kinabo –MAELEZO

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...