Thursday, September 05, 2013

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa


Waziri Mkuu aliyejiuzulu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa jana wakati wa ibada ya mazishi ya Askofu Mkuu, Moses Kulola wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) aliyezikwa nje ya Kanisa la Calvary Bugando jijini Mwanza. Na Mpigapicha Wetu   

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...