Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi
Hajira Mmambe
akipeana mkono na mwenyekiti wa bodi ya shule ya
sekondari Narumu,Deodatus Nyoni mara baada ya
kukabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi
wa Bweni.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Hajira
Mmambe akipeana mkono na mkuu wa shule
ya sekondari Narumu,Sister Joyce Mboya
mara baada ya kukabidhi mifuko 100 ya
saruji kwa ajili ya ujenzi wa Bweni.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Hajira
Mmambe katika picha ya pamoja na wanafunzi
wa kidato cha nne waliohitimu katika shule ya
sekondari Narumu iliyopo wilayani Hai.
Mkuu wa shule ya sekondari Narumu Sister Joyce
Mboya akizungumza wkati wa mahafali ya 25
ya kidato cha nne katika shule hiyo.
Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya
sekondari Narumu sekondari wakiingia kwa
madaha uwanjani kutoa burudani ya nyimbo
kwa wageni.
Dada mkuu anayemaliza muda wake katika shule
ya sekondari Narumu Anna Geluas akisoma risala
mbele ya mgeni rasimi(hayupo pichani)aliyemshikia
kipaza sauti ni mhitimu mwenzake Happiness Mkama.
Mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Narumu
Deodatus Nyoni akizungumza wakati wa mahafali
ya 25 ya kidato cha nne katika shule hiyo.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 25 ya kidato cha
nne katika shule ya sekondari Narumu Hajara
Mmambe akizungumza wakati wa mahafali hayo.
Mgeni mwalikwa katika mahafali ya 25 ya shule ya
sekondari Narumu Ibrahimu Shayo(Ibra Line)
akizungumza jambo wakati wa mahafali hayo.
Mwenyekiti wa bodi ya shule Deodatus Nyoni
akimkabidhi zawadi mgeni rasmi katika mahafali
hayo Hajira Mmambe kwa niaba ya Bodi .
Mgeni rasmi katoka mahafali hayo ambaye pia
ni meneja wa benki ya Azania tawi la Moshi ,
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Hajira Mmambe
katika picha ya pamoja na wanafunzi wa kidato cha
nne waliohitimu katika shule ya sekondari Narumu
iliyopo wilayani Hai.