Monday, October 07, 2024

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA UCHAKATAJI MAJI TAKA, AZUNGUMZA NA WANANCHI KIGAMBONI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Mradi wa Uchakataji Maji Taka  uliopo Somangira NAFCO akiwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni Mkoani Dar es salaam, Oktoba 6, 2024.  Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wanachama wa Jukwaa la Wajane Wilaya ya Kigamboni ambao walijitokeza kushiriki katika tukio la Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa wa Dar es salaam  eneo la Somangira NAFCO wilaya ni Kigamboni Oktoba 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanachama wa Jukwaa la Wajane Wilaya ya Kigamboni ambao walijitokeza kushiriki katika tukio la Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa wa Dar es salaam  eneo la Somangira NAFCO wilaya ni Kigamboni Oktoba 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wananchi katika viwanja vya Mjimwema akiwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es salaam, Oktoba  6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye Viwanja vya Mjimwema akiwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es salaam, Oktoba  6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...