Monday, September 25, 2017

MAMENEJA WA NHC WATOA MISAADA KAMBI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA WALEMAVU YA NUNGE, KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

Afisa Mwandamizi wa Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa, Veronica Mtemi akiwasilisha sehemu ya msaada wa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta kwa Bibi Belita Selemani kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mafunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. Kulia ni Bi. Veronica Mtendaji wa Makazi ya Wazee Nunge.
 Makazi ya Wazee walioathirika na ugonjwa wa ukoma yaliyopo kijiji cha Nunge eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mwandamizi wa Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa, Veronica Mtemi akiwasilisha sehemu ya msaada wa vyakula kwa Mzee Said Shaban Tekenya, kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Wazee hao walikabidhiwa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mafunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 
 Mzee Vumilia Chambuso wa Kambi ya Wazee Nunge Kigamboni. akibadilishana mawazo na mameneja wa NHC waliofika kuwasilisha msaada kwa niaba ya wenzao leo hii.
Yahya Charahani wa NHC akiwasilisha sehemu ya msaada wa vyakula kwa Bibi Magreth Abdallah kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Wazee hao walikabidhiwa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mazunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 
Afisa Mwandamizi wa Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa, Veronica Mtemi akiwasilisha sehemu ya msaada wa vyakula vilivyokabidhiwa kwa Mzee Stephen Wamlinda, kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Wazee hao walikabidhiwa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mafunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 
 Yahya Charahani wa NHC akiwasilisha sehemu ya msaada wa vyakula kwa Bibi Evelina, mmoja wa wazee wasiojiweza kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Wazee hao walikabidhiwa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mazunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi.

 Meneja wa Hati Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Albinus Simba akiwasilisha sehemu ya msaada wa vyakula vilivyokabidhiwa kwa Mzee Patson Uhangile, mmoja wa wazee wasiojiweza kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Wazee hao walikabidhiwa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mafunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 
 Afisa Mwandamizi wa Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa, Veronica Mtemi akiwasilisha sehemu ya msaada wa vyakula kwa mmoja wa wazee wasiojiweza kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Wazee hao walikabidhiwa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mafunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 
 Mzee Vumilia Chambuso wa Kambi ya Wazee Nunge Kigamboni. akibadilishana mawazo na mameneja wa NHC waliofika kuwasilisha msaada kwa niaba ya wenzao leo hii.
  Afisa Mwandamizi wa Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa, Veronica Mtemi akiwasilisha sehemu ya msaada wa vyakula kwa Mzee Salum Omari Ubwabwa kwenye kambi ya wazee hao Nunge, Kigamboni leo asubuhi. Wazee hao walikabidhiwa Mchele, sukari, sabuni, dawa za meno, majani ya chai na mafuta. Msaada huo umetolewa na Mameneja wa NHC waliokuwa katika mafunzo kwenye Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...