Mkurugenzi
 Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. 
Hassan Abbasi akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za 
machapisho kwa Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam 
ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za 
Habari ya mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi 
Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri 
Mkuu wa The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya
 Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On 
Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
 
 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa 
Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Mhariri 
Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Jesse Kwayu (kulia) ikiwa ni 
muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya 
Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e).Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi 
anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki 
magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The 
Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa 
Letu.
 
 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa 
Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Meneja wa 
Sheria na Uhusiano  wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel 
Matondo(kulia) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria 
ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni 
Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni 
hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The 
Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri
 na Taifa Letu.
 
 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa 
Serikali Dkt. Hassan Abbasi na Meneja wa Sheria na Uhusiano  wa Kampuni 
ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo (kulia) wakionyesha  Leseni ya 
machapisho aliyotolewa kwaa ajili ya gazeti la Nipashe mara baada ya 
kukabidhiwa leo Jijini Dar es Salaam.Utoaji wa Leseni unafuatia muitikio
 wa wamiliki wa machapisho kuzingatia matakwa ya Sheria ya Huduma za 
Habari ya mwaka 2016 kifunga namba 5(e). Kampuni hiyo inamiliki magazeti
 ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian 
On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
 Mhariri
 Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Jesse Kwayu na Meneja Sheria na
 Uhusiano wa kampuni hiyo Bw. Emmanuel Matondo wakiwa wameshika Leseni 
10 za machapisho yanayomilikiwa na The Guarid baada ya kukabidhi wa 
Leseni kumi za machapisho yanayomilikiwa na Kampuni hiyo leo Jijini Dar 
es Salaam. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili,
 Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha,
 This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO





 
 
No comments:
Post a Comment