Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akikata utepe wakati alipozindua mradi wa
kuimarisha barabara katika halmashauri 18 nchini katika warsha
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Koringe mjini Moshi, Juni 18,2013,Wapili
Kushoto ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia na kushoto ni mkurugenzi wa Benki ya
Dunia katika Kanda ya tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na mchungaji anayesimamia Kanisa la
kiinjili za Kilutheri Tanzanai KKKT katika Hospitali ya Kanisa hilo ya
Seriani , Arusha wakati alipokwenda kuwapopole majeruhi wa mlipuko wa
bomu waliolazwa kwenye hospitali hiyo, Juni 18, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mkurugenzi wa Benki ya Dunia katika
Kanda ya tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier
(Wapili Kushoto) na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (watatu kushoto) na kushoto ni
Kaimu Katimu Mkuu wa TAMISEMI,Jumanne Sagini
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua mradi wa
kuimarisha barabara katika halmashauri 18 nchini katika warsha
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Koringe mjini Moshi, Juni 18,2013,Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment