Thursday, June 06, 2013

RAIS KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SINGAPORE

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na maji taka.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na  Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Istana (Ikulu ya Rais) jana Juni 5, 2013 huku mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam akiwa pembeni yake baada ya kumlaki
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013.PICHA NA IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...