Redd's Miss Dar City Center, Alice Issack
Mshindi
wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa
pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto).
Warembo walioingia katika hatua ya tano bora.
Hoyce Temu akitoa utaratibu wa kujibu maswali.
Jaji Mkuu wa shindano hilo Wema Sepetu akiwa na majaji wenzake
wakifuatilia shindano la Redd's Miss Dar City Center.Picha na Dande
Francis
No comments:
Post a Comment