Monday, June 03, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA MAMBO YA NJE WA BUNGE LA JAPAN

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya bunge la Japan Mh.Katsyuki Kawai wakati mwenyekiti huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo jijini Yokohama leo .Wengine katika picha kushoto ni Mbunge wa Nzega Dkt.Hamisi Kigwangala na kulia ni Mbunge wa Kasulu mjini Mh.Moses Joseph Machali.Wabunge hao ni wajumbe walioko katika msafara wa Mheshimiwa Rais anayehudhuria Mkutano wa tano wa TICAD unaoendelea jijini Yokohama Japan.Picha na Freddy Maro

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...