Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika eneo maalum la
Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika jana Juni 21, 2013 jijini Tanga. Kushoto kwa Makamu ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Economic Corridor Ltd, Chris Incheul Chae.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia wakazi wa jijini Tanga, wakati alipofika eneo la Pongwe
jijini Tanga jana Juni 21, 2013 kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la
ujenzi wa Viwanda katika eneo hilo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic
Corridor Sez, linalosimamiwa na Wawekezaji kutoka nchini Korea Kusini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa ramani ya ujenzi wa Viwanda hivyo, mara baada ya uwekaji
Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika eneo maalum la Uwekezaji la
Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika jana Juni 21, 2013 jijini Tanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa baadhi ya vifaa kama Solar Cooker, ambavyo ni baadhi ya
vitakavyokuwa vikizalishwa katika Viwanda hivyo baada ya kukamilika,
mara baada ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika eneo
maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa sherehe
hizo zilizofanyika jana Juni 21, 2013 jijini Tanga
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda Mti wa kumbukumbu katika eneo maalum la Uwekezaji la Tanga
Economic Corridor Sez, baada ya kuweka rasmi Jiwe la Msingi la ujenzi wa
viwanda katika eneo hilo wakati wa sherehe hizo zilizofanyika jana Juni
21, 2013 jijini Tanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa, Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga
Economic Corridor Ltd, Chris Incheul Chae na viongozi wengine kwa pamoja
wakifurahia baada ya Makamu kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda,
katika eneo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati
wa sherehe hizo zilizofanyika jana Juni 21, 2013 jijini Tanga
Makamu wa Rais na baadhi ya Viongozi, wakishirikiana kurusha mchanga ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa ujenzi wa viwanda hivyo.
Picha ya pamoja.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment