Viajana wa CCM wakishangilia kwa mtindo wa aina yake wakati wa sherehe hizo
Mamia ya wana-CCM Uwanja wa Kibandamaiti, wakati wa sherehe za
wana-CCM wa Zanzibar kuipongeza safu mpya ya uongozi wa CCM Taifa
Makatibu wa NEC, Mohamed Seif Khatib (Oganaizesheni na Asha-Rose
Migiro (Siasa na Mambo ya Nje) wakiteta jambo wakati wa mkutano wa
wana-CCM Zanzibar kuipongeza safu mpya ya uongozi wa CCM Taifa, kwenye
viwanja vya Kibandamaiti, mkoa wa mjini
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiingia Uwanja wa
Kibanadamaiti katika sherehe ya wana-CCM wa Zanzibar kupongeza safu mpya
ya uongozi wa CCM Taifa. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Vuai Ali
Vuai, Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba na Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi Nape Nnauye.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed
Sheni akiingia uwanjani wa Kibandamaiti, Wilaya ya Mjini, wakati wa
sherehe za Wana-CCM Zanzibar kuipongeza safu mpya ya uongozi. Kulia ni
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Watatu Naibu Katibu Mkuu
(Bara) Vuai Ali Vuai
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed
Sheni akihutubia uwanja wa Kibandamaiti, Wilaya ya Mjini, wakati wa
sherehe za Wana-CCM Zanzibar kuipongeza safu mpya ya uongozi. Kulia ni
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Watatu Naibu Katibu Mkuu
(Bara) Vuai Ali Vuai.Picha na Bashir Nk0romo-itikadi na Uenezi-CCM
No comments:
Post a Comment