Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akiwa sambamba na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye wakikagua mojawapo ya nyumba za mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Ilembo, Mpanda Katavi jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Utawala na Uendeshaji wa Mikoa, Raymond Mndolwa huku Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye wakishuhudia kwenye uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Ilembo, Mpanda Katavi jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk mohammed Gharib
Bilal, akizindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu NHC Ilembo huku Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye
wakishuhudia kwenye uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Ilembo,
Mpanda Katavi jana

Bilal, akipeana mkono na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye kwenye uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Ilembo,
Mpanda Katavi jana. Picha zote za kwa hisani ya SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment