Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi akionyeshwa ujenzi unavyoendelea
wa Kituo cha Uchunguzi na Matibu cha Hospitali yaMkoa wa Dodoma na Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Suleimani Rashid (katikati)
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kabla ya
Waziri wa Wizara hiyo kufika katika ukaguzi wa ujenzi wa Kituo cha Uchunguzi na
Matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma
Mkurugenzi
wa Fedha na Uwekezaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Deusdedit Rutazaa
akitoa taarifa ya Fedha ya kuhusu mradi wa ujenzi unaoendelea wa Kituo cha
Uchunguzi na Matibabu cha Hospitali ya Mkoa wa Dodoma
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akizungumza muda mfupi baada ya
kutembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha Uchunguzi na Matibabu cha Hospitali
ya Mkoa wa Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya,Ntukamazina
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi(katikati) akitoka kukagua ujenzi
wa Kituo cha Kisasa cha Uchunguzi na Matibabu kinachojengwa na Mfuko wa Taifa
wa Bima ya Afya eneo la Chuo Kikuu cha Cha Dodoma
No comments:
Post a Comment