Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Kizota mjini
Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano mkuu wa nane wa CCM, leo.
Makamu Mwenyekiti Mteule wa CCM (Bara), Phili Mangula (kulia) akiungana
na wanachama wengine kushangilia Mwenyekiti wa CCm, Rais Kikwete
alipoingia ukumbini wakati wa mkutano huoBaadhi ya wajumbe ukumbini
wake wa viongozi
Waaliwa kutoka kutoka nchi za nje
Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini
Wajumbe wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo
Watu waliokuwa nje ya ukumbi wakifuatilia kwenye banda maalum. PICHAZOTE KWA HISANI YA KAMANDA BASHIR NKOROMO WA UHURU
No comments:
Post a Comment