Monday, November 05, 2012

BULEMBO AFANYIWA MAPOKEZI DAR


 Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo akipunga mikono baada ya kuwasili kwenye  viwanja vya Mnazi Mmoja, ambako aliandaliwa mapokezi rasmi na uongozi wa Jumuia hiyo mkoani Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Angela Kiziga (kushoto) akiwakaribisha Mwenyekiti wa Wazazi Taifa, Abdallah Bulembo na Makamu Mwenyekiti wa Jumuia hiyo Dogo Mabrouk baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja leo
 Bulembo akikumbatiwa na baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam,
 Bulembo akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam
 Bulembo na Dogo wakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Dadi na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo mkoa wa Dar es Salaam, Angela Kiziga
 Wafanyakazi wa Family Bank (T) Limited wakiwa kwenye mapokezi hayo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Family Bank (T) Limited wakiwa kwenye mapokezi hayo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
 Baadhi ya wajumbe wa Jumuia ya Wazazi wakiwa kwenye mkutano huo
 Tunda Man (wapili kulia) na kundi lake, wakitumbuiza kwenye mapokezi hayo

No comments:

RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE, AAGIZA UKAMILISHAJI WA MIUNDOMBINU YA KUSAFIRISHA UMEME NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi waliohudhur...