Hafla ya tuzo za vinara wa kupinga ukatili wa kijinsia ambao huandaliwa na WILDAF na MKUKI kila baada baada ya kuhitimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia imefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa serikali,wadau mbalimbali wa harakati za kupinga ukatili wa kijinsia,Mabalozi na viongozi wa taasisi mbalimbali.
Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini,Georgia Mutagahywa, akiambatana na wadau wengine kumkabidhi tuzo kiongozi wa kimila wa Kimasai kutoka Ngorongoro Lengumo Permiria ambaye pia aliibuka kidedea.5.Mwakilishi
wa Taifa Gas,Joseph Nzumbi akikabidhi zawadi ya jiko kwa mmoja wa
washindi Mratibu wa dawati la jinsia Jeshi la Polisi Dodoma Faidha
Yusuph.Kampuni hiyo ilikuwa pia iliungana na wadau wote kwenye mapambano
hayo mwaka
Baadhi ya washindi wakionyesha tuzo zao wakati wa hafla hiyo.Washindi wa tuzo hizo katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment