WADAU MBALIMBALI WAJUMUIKA PAMOJA KATIKA UZINDUZI WA TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI MAUNT MERU ARUSHA Posted by Vempin Media Tanzania on December 20, 2024 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Wageni mbalimbali tayari wamewasili katika Hoteli ya Mt. Meru Arusha kushuhudia tukio la kihistoria la Uzinduzi wa Tuzo za Uhifadhi na Utalii leo Disemba 20, 2024.Mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Comments
Comments