Friday, September 23, 2016

WAZIRI MKUU AIPONGEZA VODACOM TANZANIA KWA KUTOA MSAADA WA HUNDI YA SHILINGI MILIONI 100 KWA AJILI YA WAHANGA WA TETEMEKO KAGERA

Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa  (kushoto) akikapokea  mfano wa hundi yenyethamani ya shilingi  milioni 100/= kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia) ikiwa ni msaada kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam.Katikati ni  Mkurugenzi wa Mawasiliano na  Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia
 Waziri Mkuu Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa  (kushoto) akiwa kwenyepicha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia)  mara baada ya kukabidhiwa  mfano wa hundi yenye thamani shilingi milioni 100= ikiwa ni msaada kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na  Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao ( wa pili kulia)  akizungumza na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim  Majaliwa ( kushoto) kwenye hafla ya  Kumkabidhi msaada wa shilingi  Milioni 100/= kwa ajiliya kusaidia wahanaga wa  tetemeko la ardhi liliotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Kulia ni  Mkurugenzi wa Mawasiliano Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.
Waziri Mkuu Khassim Majaliwa (katikati) akimshukuru Mkurugenzi wa  Vodacom Tanzania,Ian Ferrao mara baada ya kumkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 100/= ikiwa ni msaada  kwa  ajili ya kukabiliana na maafa ya wahanga wa  tetemeko la ardhi  lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yaliyofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu  Alhamisi Septemba 22, 2016 jijini  Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...