Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimbembe Auction Mart wakitoa Samani za kampuni ya Centre Point Limited Mpangaji wa Shirika la Numba NHC Katika nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa wa Indira Ghandhi jijini Dar es salaam kwa kushindwa kulipa kodi ya pango kiasi cha shilingi Milioni 96, tukio hilo limefanyika leo asubuhi.Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimbembe Auction Mart wakitoa Samani za kampuni ya Centre Point Limited Mpangaji wa Shirika la Numba NHC Katika nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa wa Indira Ghandhi jijini Dar es salaam Vitu mbalimbali vikitolewa ndani vikiwemo viti.Baadhi ya vifaa mbalimbali vya kampuni hiyo vikiwa tayari vimetolewa nje.Mmoja wa wanafamilia ambaye hakutaka jina lake litajwe akishuhudia tukio hilo wakati wafanyakazi hao wakiendelea kutoa vitu mbalimbali katika nyumba hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment