Thursday, September 22, 2016

WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA BANDA LA NHC ALAT, ASIFU UTENDAJI KAZI NA KUAGIZA KASI YA UJENZI IONGEZEKE


Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Taifa wa Jumuiya ya serikali za mitaa ALAT ambao kitaifa unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. George Tuguluvala Simbachawene akisikiliza maelezo kutoka kwa Erasto Chilambo, Meneja Mauzo wa Nyumba za gharama nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo. Waziri Simbachawene amelisifu Shirika la Nyumba kwa utendaji kazi mzuri na akalitaka liendelee kujenga nyumba nyingi zaidi kwaajili ya kuwajengea Watanzania makazi bora na yenye heshima.
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Taifa wa Jumuiya ya serikali za mitaa ALAT ambao kitaifa unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. George Tuguluvala Simbachawene akisalimiana na Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Emmanuel Lyimo katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo.
Meneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo
 Meneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa akizungumza na vyombo vya habari vilivyofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Emmanuel Lyimo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo.
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Emmanuel Lyimo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo.

 Meneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja aliyefika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo


Meneja wa Mauzo ya Nyumba za Gharama Nafuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Erasto Chilambo akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliofika katika Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa mjini Musoma leo ambapo kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Taifa wa Jumuiya ya serikali za mitaa ALAT, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. George Tuguluvala Simbachawene ambao kitaifa unafanyia mjini Musoma mkoani Mara kuanzia leo hadi keshokutwa.


No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...