Saturday, September 10, 2016

TAZAMA MUONEKANO WA NDANI WA JENGO JIPYA LA J.K. NYERERE AIRPORT TERMINAL III JIJINI DAR


  Muonekano wa ndani wa jengo jipya la Abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere, jijini Dar es salaam ambalo bado linaendelea na Ujenzi.
 Mafundi wakiendelea na kazi ndani ya jengo (terminal 3).

No comments:

Makamu wa Rais Aongoza Salamu za Rambirambi kwa Kifo cha Jenista Mhagama, Ataja Taifa Kupata Pengo Kubwa

  #RIPJenistaMhagama #Tanzania #Ruvuma #Uongozi Dodoma – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nch...