Tuesday, March 08, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPA POLE RAIS MSTAAFU.

Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe Mary wakimpa pole  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Salma (kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwao jijini  Dar es salaam kuhani msiba wa kaka yake Rais Mstaafu Marehemu  Selemani Mrisho Kikwete.
 (Picha n ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.

Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Ag...