Thursday, March 03, 2016

NHC YAKABIDHI TUZO NA VYETI KWA WANAFUNZI BORA WA CHUO KIKUU ARDHI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono wa Pongezi, France Bahangarwa baada ya kumkabidhi Fedha Taslimu na Cheti cha Mwanafunzi Bora Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Usimamizi wa Miliki ya Chuo Kikuu cha Ardhi kwa mwaka 2013/14. France sasa ni Mfanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika kurugenzi ya Usimamizi wa Miliki. NHC iliingia makubaliano ya kutoa tuzo za kitaaluma kwa wanafunzi wanaofanya vyema katika fani za usimamizi na
 uendelezaji wa miliki.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono wa Pongezi, France Bahangarwa baada ya kumkabidhi Fedha Taslimu na Cheti kingine cha pili cha Mwanafunzi Bora Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Usimamizi wa Miliki ya Chuo Kikuu cha Ardhi kwa mwaka 2013/14. France sasa ni Mfanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika kurugenzi ya Usimamizi wa Miliki. NHC iliingia makubaliano ya kutoa tuzo za kitaaluma kwa wanafunzi wanaofanya vyema katika fani za usimamizi na
  uendelezaji wa miliki. 

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono wa Pongezi, Theresia Paschal baada ya kumkabidhi Fedha Taslimu na Cheti cha Mwanafunzi Bora katika utafiti wa kitaluma katika Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Usimamizi wa Miliki ya Chuo Kikuu cha Ardhi kwa mwaka 2013/14. NHC iliingia makubaliano ya kutoa tuzo za kitaaluma kwa wanafunzi wanaofanya vyema katika fani za usimamizi na  uendelezaji wa miliki.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono wa Pongezi, Amri Noah baada ya kumkabidhi Fedha Taslimu na Cheti cha Mwanafunzi Bora wa mwaka wa tatu katika somo la Usimamizi Miliki za Umma kwenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Usimamizi wa Miliki ya Chuo Kikuu cha Ardhi kwa mwaka 2013/14. NHC iliingia makubaliano ya kutoa tuzo za kitaaluma kwa wanafunzi wanaofanya vyema katika fani za usimamizi na uendelezaji wa miliki.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akitoa nasaha zake kwa vijana hao ambao walizipata wakiwa wanafunzi wa Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Usimamizi wa Miliki ya Chuo Kikuu cha Ardhi kwa mwaka 2013/14. NHC iliingia makubaliano ya kutoa tuzo za kitaaluma kwa wanafunzi wanaofanya vyema katika fani za uendelezaji wa miliki.

Vijana hao wakifuatilia nasaha za Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu wakati wa hafla hiyo. NHC iliingia makubaliano ya kutoa tuzo za kitaaluma kwa wanafunzi wanaofanya vyema katika fani za uendelezaji wa miliki.
 
No comments:

Rais wa Sierra Leone Awasili nchini

Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wak...