Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Salama Hotel ya Bwawani Mjini Zanzibar kuhudhuria katika Taarab rasmi ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa wa Kishindo katika uchaguzi Mkuu wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mama Asha Balozi katika Ukumbi wa Salama Hotel ya Bwawani Mjini Zanzibar jana katika Taarab rasmi ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa wa Kishindo aliyoupata katika uchaguzi Mkuu wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Ukumbi wa Salama Hotel ya Bwawani Mjini Zanzibar jana alipohudhuria katika Taarab rasmi ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa wa Kishindo aliyoupata katika uchaguzi Mkuu wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis (kushoto) na Mama Asha Balozi (kulia) wakiangalia ratiba ya Taarab rasmi ya kumpongeza Rais kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio,taarab rasmi iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja,
Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika taarab rasmi ya kumpomgeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio,taarab rasmiiliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar Onejana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis (kushoto) na Mama Asha Balozi (wa pilikulia) na Mama Fatma Karume pamoja na Viongozi wengine wakiangalia Taarab rasmi ya kumpongeza Rais kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One ndio vilivyotoa burudani hiyo jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Msanii Makame faki (Sauti ya Zege) akiimba wimbo wa “Katumbukia Mwenyewe” wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar Onejana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa makamo wa Pili wa Rais Mstaafu Mama Asha Suleiman Iddi wakitunza wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio,iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar Onejana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja
Mwimbaji wa Rukia Ramadhan wa Zanzibar One akiimba wimbo unaosema”Kupata Majaaliwa”wakati wa Taarab rasmi ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa ushindi mkubwa wa Kishindo alioupata katika uchaguzi wa marudio, iliyocharazwa na Vikundi vya Culture Muzicul Club,BigStar na Zanzibar One jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawabi Mjini Unguja,
[Picha naIkulu.]
No comments:
Post a Comment