Tuesday, March 29, 2016

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU ASTERIA JOHN YONGOLO ALIYEKUWA AKIFANYIA KAZI NHC NKRUMAH

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kwa niaba ya Shirika kwenye msiba wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.
Mkurugenzi wa Utawala na Operesheni za Mikoa, Raymond Mndolwa akiongoza zoezi la kubeba mwili wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah wakati mwili huo ulipowasili nyumbani kwa mwanaye Tegeta, Chama kwaajili ya kutoa salamu za mwisho tayari kwa safari ya kuelekea kijijini kwao Mabamba, Kigoma. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.

Mwili wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah ukiandaliwa nyumbani kwa mwanaye Tegeta, Chama kwaajili ya kutoa salamu za mwisho tayari kwa safari ya kuelekea kijijini kwao Mabamba, Kigoma. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi kwenye msiba wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.
Baadhi ya waombolezaji waliokuwapo kwenye msiba wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.

Baba Mchungaji akiendesha ibada kwenye msiba wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.
Ndugu akisoma wasifu mfupi wa Marehemu kwenye msiba wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kwa niaba ya Shirika kwenye msiba wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.

 Baadhi ya waombolezaji waliokuwapo kwenye msiba wa Marehemu Asteria John Yongolo aliyekuwa Mhasibu Msaidizi kitengo cha Fedha NHC Nkrumah. Marehemu Yongolo alifariki Dunia Usiku wa kuamkia Pasaka Machi 27, 2016 akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani wa titi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...