Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yaliyoulizwa wakati wa kikao.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola akitoa maelezo kuhusu taasisi anayoiongoza kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kuduma ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jason Rweikiza (Mb) akitambulisha kamati anayoiongoza.
Mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Ruth Mollel (Mb) akitoa mchango wake katika kikao.
Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (mkono wa kushoto) wakisalimiana na wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kabla ya kikao.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xvier Daudi akiwasilisha mada kuhusu taasisi anayoiongoza kwa wajumbe wa kamati ya Bunge, hawapo pichani.
No comments:
Post a Comment