Wednesday, March 16, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA MGENI RASMIN SIKU YA TEPE MEUPE LEO

14
Matembezi yaliyoshirikisha wadau mbalimbali ya sekta ya Afya kwa ajili ya  maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe na
uzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi yaliyofanyika leo
March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
15
19Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia maonesho
yaliyoshirikisha wadau wa Taasisi mbalimbali za sekta ya Afya kwenye
maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika leo March 16,2016 katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
16
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua mpango
mkakati wa miaka mitano wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi kwenye
maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika leo March 16,2016 katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
17
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana
na Mwendesha Mashitaka katika Mahakama ya Kimataifa Jaji Hassan Jallow wakati
Jaji Jallow alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo 
18
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
na Mwendesha Mashitaka kwenye Mahakama ya Kimataifa Jaji Hassan Jallow, wakati
Jaji Jallow alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
March 16,2016 kwa ajili ya kumuaga baada ya kuishi Tanzania kwa muda mrefu
(Picha na OMR)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...