Thursday, May 01, 2008

Mei Mosi



Wafanyakazi wa Veta Mikumi wakionyesha ujumbe kwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Saidi Mwambungu unaosomeka
Ajira bora, maisha bora, uchumi imara na maendeleo inawezekana bila ufisadi wakati wa kilele cha siku ya wafanyakazi Mei Mosi katika uwanja wa Jamhuri Morogoro Picha na Juma Ahmadi, Morogoro

No comments:

KAMISHNA KUJI ATOA WITO TANAPA KUWA NA SACCOS MOJA

Na Edmund Salaho - Tanga Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji ambaye pia ni mlezi wa HIFADHI SACCOS LTD ametoa wito kwa watumi...