Thursday, November 29, 2007

Mv Kigamboni


Huu mzaha mzaha matokeo yake bila shaka siku moja tutaja yaona na kisha eti watakuja hawa viranja wetu wajidai wanatoa machozi ya simba kujifanya wanaona huruma saana jamani , Kivuko hiki cha Kigamboni na kile kingine kidogo havifai kabisa kwa matumizi ya binaadamu wa kawaida, hebu cheki lilivyosheheni jana, mdau Salhim Shao kanirushia hii.

No comments:

TRC KUONGEZA SAFARI ZA SGR DAR ES SALAAM–DODOMA 🚆🇹🇿

  Habari njema kwa wasafiri! Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza safari za treni ya SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma kua...