Wednesday, August 02, 2017

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA UNICEF TANZANIA NA UNDP TANZANIA

PMO_7915
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza  na  mwakilishi mkazi wa UNICEF) Nchini  Tanzania  Bibi Maniza Zaman Ogasti 2. 2017  Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni  Dar es salaam(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_7925
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mwakilishi mkazi wa UNDP nchini Tanzinia Bwana Alvaro Rodriguez , wakati  walipo mtembelea  ofisini  kwake  Magogoni Dar es salaam .kwa mazungumzo ya kikazi  Katikati ni Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania  Maniza  Zaman.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
PMO_7901
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana  na  Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania Bibi  Maniza  Zaman . wakati alipofika  ofisini kwa Waziri Mkuu . magogoni  Dar es salaam agosti 2. 2017  kwa mazungumzo ya kikazi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...