Saturday, August 12, 2017

UZINDUZI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA SAFARI CITY NA MAKABIDHIANO YA HADI ZA UMILIKI UKIENDELEA

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikaribishwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Kesogukewele Msita wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisalimiana na  viongozi mbalimbali wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji

 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji

Waziri Lukuvi akizungumza  wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...