Thursday, March 23, 2017

KAMATI YA KUDUMU YA MIUNDOMBINU YAKAGUA UJENZI WA ‘TAZARA Flyover’.

DUMU
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigara ‘King’ (katikati) akijadiliana jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo wakati walipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), Jijini Dar es Salaam.
DUMU 1
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani (Wa tatu kushoto) akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), Jijini Dar es Salaam.
DUMU 2
Mhandisi msimamizi wa ujenzi wa barabara za juu (Tazara Flyover), Eng. Kiyokazu Tsuji (katikati), akitoa maelezo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover) kwa kamati ya kudumu ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani na Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala ‘King’.
DUMU 3
Mhandisi msimamizi wa ujenzi wa barabara za juu (Tazara Flyover), Eng. Kiyokazu Tsuji (katikati) akitoa maelezo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), kwa kamati ya kudumu ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani na Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala King.
DUMU 4
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa, Norman Sigara “King” (Kushoto), akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani (katikati), wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), Jijini Dar es salaam.
Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...