Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo akizinduzia Mradi wa umeme Vijijini Mkoa wa Singida. Uzinduzi huo umefanyika jana Machi 24/2017 na kuhudhuriwa na wafadhili kutoka WB, EU, Norway na Denmark ambao wwnafadhili mradi mkubwa wa Backbone unaoanzia Iringa- Dodoma-Singida hadi Shinyanga. Mradi huo wa REA III unatekelezwa kuziba mapengo ya maeneo vijiji ambavyo vimepitiwa na mradi mkubwa wa Backbone na vilirukwa katika Awamu ya REA II.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment