Thursday, March 23, 2017

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI YATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akitoa taarifa ya utekelezaji wa utendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa kwa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali leo asubuhi Kamati hiyo pia ilitembelea miradi ya ujenzi wa nyumba ya Morocco Square, Victoria, Eco Residences, Kawe 711 na kumalizia Kunduchi Riffle Range ambalo ni eneo litakaloendelezwa kwa ubia na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Dk. Haji Mponda akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni leo asubuhi Kamati hiyo pia ilitembelea miradi ya ujenzi wa nyumba ya Morocco Square, Victoria, Eco Residences, Kawe 711 na kumalizia Kunduchi Riffle Range ambalo ni eneo litakaloendelezwa kwa ubia na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akitoa maelezo ya kitaalamu kwa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali,  leo asubuhi Kamati hiyo pia ilitembelea miradi ya ujenzi wa nyumba ya Morocco Square, Victoria, Eco Residences, Kawe 711 na kumalizia Kunduchi Riffle Range ambalo ni eneo litakaloendelezwa kwa ubia na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akieleza jambo wakati Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali ilipotembelea mradi wa ujenzi wa NHC Kawe 711 leo  jioni Kamati hiyo pia ilitembelea miradi ya ujenzi wa nyumba ya Morocco Square, Victoria, Eco Residences na kumalizia Kunduchi Riffle Range ambalo ni eneo litakaloendelezwa kwa ubia na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akijadiliana na mmoja wa wajumbe wa Kamati wakati Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali ilipotembelea mradi wa ujenzi wa NHC Kawe 711 leo  jioni Kamati hiyo pia ilitembelea miradi ya ujenzi wa nyumba ya Morocco Square, Victoria, Eco Residences na kumalizia Kunduchi Riffle Range ambalo ni eneo litakaloendelezwa kwa ubia na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Hesabu za Serikali Bibi Bura na Munde Tambwe wakijadiliana jambo wakati wa ziara ya Kamati hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akieleza jambo wakati Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali ilipotembelea mradi wa ujenzi wa Victoria leo  jioni Kamati hiyo pia ilitembelea miradi ya ujenzi wa nyumba ya Morocco Square, Eco Residences na kumalizia Kunduchi Riffle Range ambalo ni eneo litakaloendelezwa kwa ubia na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akieleza jambo wakati Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali ilipotembelea mradi wa ujenzi wa NHC Kawe 711 leo  jioni Kamati hiyo pia ilitembelea miradi ya ujenzi wa nyumba ya Morocco Square, Victoria, Eco Residences na kumalizia Kunduchi Riffle Range ambalo ni eneo litakaloendelezwa kwa ubia na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).


No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...