Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa wakati wa kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma Machi 14, 2017.
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli wakati akifunga kufunga semina ya watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa katika ukumbi w White House mjini Dodoma Machi 14, 2017.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma Machi 14, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment