Naibu Meya akizindua mradi mkubwa wa kisima cha maji katika jimbo la ukonga kata ya pugu mtaa wa bombani na kigogo B ,Mradi huo wa maji umegharimu kiashi cha fedha Milioni 67.610.000 kama sehemu za juhudi za Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kwa kushirikiana na Wananchi pamoja na mfuko wa Jimbo
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akifungua bomba la Maji kuashiria kuwa Maji yanaanza kutumika katika eneo la Pugu Kajiungeni
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akimtwisha ndoo ya Maji mmoja wa wakazi wa Pugu mara baada ya Maji ya kisima kilichochimbwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na wakazi wa Jimbo la ukonga kata ya Pugu mtaa wa bombani Kigogo B.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto akishuka bondeni kuangalia chanzo cha maji katika eneo la Pugu
No comments:
Post a Comment