Waziri
Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa mada katika mdahalo
ulioandaliwa na REPOA juu ya mapinduzi ya Viwanda,Jana jijini Dar
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Profesa Adolf Mkenda akitoa
ufafnuzi juu ya nini kifanyike katika kufikia malengo ya mapinduzi ya
Viwanda nchini
Mzee Butiku akifuatilia mjadala huo ambao ulikuwa wa aina yake
Mkurugenzi
mkuu wa Benki ya CRDB nchini , Charles Kimei akizungumza namna mabenki
yanavyoweza kutoa mchango mkubwa katika mapinduzi ya Viwanda nchini
wakati wa mjadala ulioandaliwa na REPOA juu ya nini kifanyike kuelekea
mapinduzi ya Viwanda kwa kushirikisha Tasisi,jana jijini Dar
Waziri
wa Fedha Mstaafu wa awamu ya nne ,Bazili Mramba akizungumzia juu ya
nini kifanyike katika serikali kuu ili tuweze kufanikiwa katika
maendeleo ya Viwanda
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Profesa Adolf Mkenda akiwa na
baadhi ya washiriki mara baada ya kumalizika kwa mjadala huo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment