Sunday, February 07, 2010

Mizengo ndani ya magwanda ya CCM



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Mpwapwa baada ya kuhutubia mkutubia katika sherehe za miaka 33 ya CCM mkoa wa Dodoma zilizofanyika kimkoa kwnye uwanja wa michezo wa Mpwapwa. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma na Mbunge wa Bahi, William Kusila.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mtoto Hussein ambaye kichwa chake ni kikubwa kiasi cha kumfanya ashindwe kutembea vizuri katika sherehe za miaka 33 ya CCM mkoa wa Dodoma zilizofanyika kimkoa kwenye uwanja wa michezo wa Mpwapwa Februari 6, 2010. Kushoto kwake ni Mkuu wa MKoa wa Dodoma, Dr. James Msekella.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

RAIS SAMIA AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA JUMUIYA YA MADOLA IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15 Aprili 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe...