Friday, June 06, 2008

Mambo ya Sullivan




Mkutano wa Sullivan umeisha mambo ni kama hivyo hebu cheki ukumbi ulivyokuwa wakati wa mkutano yaani kama vile ukumbi wa UN pale New York jirani kabisa na ground zero, huku picha nyingine inaonyesha Balozi Andrew Young akimpa mkewe busu la mwaka pia inaonyesha matukio mengine.Picha za Edwin Mjwahuzi na Athmani Khamisi

3 comments:

Anonymous said...

wooow fantastic, wanapongezana kwa kumaliza sullivan vizuri.ila wabongo wengi hawawezi fanya hivyo kujaribu kufanya hivyo mbele za watu unaambiwa unajishaua lol.ndo maana hatuendelei kwa ignorance

Anonymous said...

safi sana andy na wife wako,hamna kuona noma kwa watu, busu popote kwa umpendae.
Ms Bennett

Anonymous said...

Saafi sana balozi Andy na waifu wako lakini mimi kimenisikitisha kitu kimoja yaani huu mkutano wa Sullivan sijaona mafanikio yake zaidi ya kuchota mabilioni ya fedha ya nchi kutumikia matajiri.
Sijasikia any serious deal ya Wamarekani walioingia na Watanzania, ukiacha deal ndogo ndogo. Sullivan Summit ni mkutano mkubwa unafaa mabepari tulipaswa kupata mengi kutoka huko.
Nasikia jamaa wamepigiza mabilioni, na hakuna kitu cha maana tegemeeni soo jingine kuibuliwa kuhusiana na huu mkutano kama lile la EPA.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...