Sunday, June 08, 2008

Mambo ya Cape verde





Mdau Saleh Ally aliyekuwapo Cape Verde jana wakati pambano la Taifa Stars na Cape Verde kanishushia picha hizi kutoka huko anaisifu nchi hiyo, eeee bwanaa anasema huko mambo yao si ya kawaida ni kama majuu ingawa wapo kidogo kiafrika , halafu hebu cheki mambinti zao utakoma, wanalipa mwanangu si mchezo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...