Thursday, March 13, 2008

vyuo vingine bwana


Vyuo vingine bwana hebu cheki chuo ambacho kinatarajiwa kutoa cream ya uandishi wa habari hapa nchini hebu nambieni.

3 comments:

Simon Kitururu said...

DUH!

Anonymous said...

Sasa tatizo lipo wapi? ubora wa elimu si majengo mazuri we yahya charahani!Kama watapata mtaala mzuri na walimu wazuri watatowa waaandishi wazuri kulĂ­ko huko kwenye vyuo vya maghorofa! amka we yahya!

Anonymous said...

Nilitaka kuandika exactly what Mzee ANON hapo juu yangu ulichosema. Sasa kipi kianze kuelimisha watu au kupata majengo??? Watu lazima tuondokane na fikra mgando na kuacha kukebehi jitihada za kuleta elimu nchini.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...