Friday, March 28, 2008

Mvua inaendelea






Mvua zinazoendelea kunyesha jijni Dar es Salaam zimekuwa mwiba mchungu kwa kila mmoja si watu wa mabondeni tu bali hata kwa watu wa city centre kama inavyoonekana katika picha hizi nilizoziopoa kwa wadau Issa Michuzi na Mpoki Bukuku. Kama zitaendelea namna hii balaa lake si la kawaida.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...