Sunday, March 02, 2008

Muafaka wa Zanzibar miaka 10, Kenya miezi miwili





Pichani wanachama wa chama cha wananchi (CUF) wakiwa mkutanoni wanazungumzia mambo mengine lakini kubwa ni muafaka wa Zanzibar ambao umeshachukua miaka saba sasa, haukamiliki haujulikani ukowapi na hautajulikana, lakini Kenya wamenza jana tu leo kitu kinaeleweka, Je msomaji unafikiri tatizo ni nini huko?

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...