Monday, March 24, 2008

Magari yakwama Chunya


Pichani ni magari ambayo yamekwama na kuziba njia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika kijiji cha Kawatere barabara ya kutoka Chunya kuelekea Mbeya ambapo barabra hiyo iko kwenye matengenezo.(picha zote na Brandy Nelson )

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...