Monday, March 24, 2008

Mambo ya Dar es Salaam



Dar DSM sema, hayo ndo mambo yenyewe yalivyo kila mmoja na lakke, ombaomba wanafanya vyao, barabara imejaa magari kivyake yaani ili mradi mpango ni vurugu tupu. Hili ndilo jiji la Kandoro bwanaaaaa.

No comments:

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...