Tuesday, September 18, 2007

Mama akivuna mwani



Mwanamama wa Bwagamoyo akivuna zao la mwani maarufu na lenye matumizi mengi kote dunia ingawa hapa nchi kwetu bado halijapata msukumo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...