Thursday, September 20, 2007

Daraja la kutoka kwetu Ntwara kwenda Nchumbiji



Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa daraja la Umoja katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji, daraja ambalo linategemewa kuwa kiungo kwa Tanzania na nchi za kusini mwa Afrika. Picha na mwanakombo Jumaa, Maelezo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...