Monday, April 24, 2017

UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane(8) ya CCM aina ya Dyna ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa CCM wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Masoud Khamis (wa pili kulia) katika viwanja vya Z. Ocean Hotel iliyopo kihinani Wilaya ya Magharibi Jimbo la Mfenesini leo.
Gari nane (8) aina ya Dyna zilizonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis ambazo leo amezikabidhi kwa Chama cha Mapinduzi CCM zitakazotumika na kutoa huduma katika Matawi ya Chama cha CCM katika jimbo hilo,ambazo zimegharimu jumla ya shilingi za kitanzania Millioni Mia moja na Tisiini na Mbili,[Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis alipowasili katika viwanja vya Z. Ocean Hoteli iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari nane (8) za Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanaCCM wa Jimbo la Mfenesini wakati alipowasili katika viwanja vya Z. Ocean Hoteli iliyopo Kihinani Jimbo la Mfenesini Wilaya ya Magharibi leo katika sherehe za Uzinduzi wza Mradi wa Gari nane(8) za CCM zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya kwa Wananchi, 
Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mfenesini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane (8)za CCM zilizokabidhiwa leo kwa Rais ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya kwa Wananchi hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Z. Ocean Hoteli iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akipokea kadi za Gari Nane (8) aina ya Dayna ambazo Rais amezindua Mradi huo wa CCM zitakazotumika katika Matawi ya Chama Jimbo la Mfenesini,Gari hizo ini ahadi aliyoitoa Mbunge Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis katika ukumbi wa Hoteli ya Z. Ocean iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe Jimboni humo, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati sherehe ya Uzinduzi wa Mradi wa Gari 8 za Chama cha Mapinduzi CCM zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Maoud Khamis ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa kwa jimbo,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Z.Ocean Kihinani Wialaya nya Magharibi Unguja, [Picha na Ikulu] 23/o4/2017

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...