Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio akikagua ukarabati na ujenzi wa Jengo la zahanati ya Mnolela Mkoani Lindi lililokarabatiwa na kujengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linavyoonekana pichani, ukarabati na ujenzi wa Zahanati hiyo ulianza mapema mwezi Machi mwaka huu, itakapokamilika zahanati hii mapema Juni mwaka huu itaweza kuhudumia zaidi ya kakazi 3,000 wa eneo hilo.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio (kushoto) akikagua ukarabati na ujenzi wa Jengo la zahanati ya Mnolela Mkoani Lindi lililokarabatiwa na kujengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linavyoonekana pichani, itakapokamilika zahanati hii mapema Juni mwaka huu itaweza kuhudumia zaidi ya kakazi 3,000 wa eneo hilo. Kulia ni Meneja wa NHC mkoa wa Lindi, Gibson Mwaigomole akielekeza jambo.
Jengo la zahanati ya Mnolela Mkoani Lindi lililokarabatiwa na kujengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linavyoonekana pichani, ukarabati na ujenzi wa Zahanati hiyo ulianza mapema mwezi Machi mwaka huu, itakapokamilika zahanati hii mapema Juni mwaka huu itaweza kuhudumia zaidi ya kakazi 3,000 wa eneo hilo.
Ukarabati na ujenzi huu unafanywa na Shirika la Nyumba la Taifa kufuatia agizo la Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilotoa wakati wa ziara yake kwa Mikoa ya kusini tarehe Machi 4, mwaka huu.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Haikamen Mlekio (kushoto) akikagua ukarabati na ujenzi wa Jengo la zahanati ya Mnolela Mkoani Lindi lililokarabatiwa na kujengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linavyoonekana pichani, ukarabati na ujenzi wa Zahanati hiyo ulianza mapema mwezi Machi mwaka huu, itakapokamilika zahanati hii mapema Juni mwaka huu itaweza kuhudumia zaidi ya kakazi 3,000 wa eneo hilo. Kulia kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Lindi, Gibson Mwaigomole akielekeza jambo.

No comments:
Post a Comment